RAIS DKT. SAMIA AMUASILI MTOTO ALIYETELEKEZWA GESTI WILAYANI NZEGA
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuasili Grace Samia Suluhu, mtoto mchanga aliyetelekezwa mjini Nzega, mkoa wa Tabora.
Dkt. Samia amesema kuwa, "Kila mtoto anayezaliwa ni baraka na hazina kwa jamii, tunao wajibu ndani ya Serikali na kila mwananchi kuhakikisha tunashiriki katika malezi, ulinzi, upendo na kesho ya watoto, kwani ndiyo kesho yetu na Taifa letu."

Maoni