MHE. DOTTO BITEKO ASHINDA KWA ASILIMIA 99.8
IDADI YA WAPIGA KURA JIMBO LA BUKOMBE - GEITA NI 7,845. = Wajumbe waliohudhuria 7456. = Wajumbe wasiohudhuria 389. Idadi ya kura zilizopigwa 7456. = Idadi ya kura zilizoharibika 15. = Idadi ya kura halali 7441. ✅ KURA ZA NDIO 7441. = KURA ZA HAPANA 00. *WASTANI WA WAPIGA KURA WALIOJITOKEZA NI ASILIMIA 95.04. *WASTANI WA USHINDI NI ASILIMIA 99.8. @BUKOMBE @BITEKO @CCMTAIFA