AFRIKA KUSINI YAONGEZA WANAJESHI KUKABILIANA NA MAGENGE YA DAWA ZA KULEVYA NA MAUAJI YA RAIA.
WANAJESHI wamepelekwa katika mitaa ya mji mkubwa zaidi nchini Afrika Kusini, Johannesburg, ili kukabiliana na uhalifu unaosababisha idadi kubwa ya watu kuuawa na mapigano kati ya magenge ya dawa za kulevya
Kwa habari zaidi tufuatilie kupitia you tube @habarikamilitv, Facebook habari kamili tv na kwenye blog @habarikamilitv




Maoni