TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HOSPITALI YA RUFAA YA NKINGA
HOSPITALI ya Rufaa ya Nkinga, iliyopo wilaya ya Igunga mkoani Tabora, pembezoni mwa barabara kuu ya Mwanza - Dodoma - Dar es Salaam (km 21 kutoka barabarani),
Inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa, Uadilifu na Moyo wa kuhudumia jamii, kujaza nafasi za kazi zifuataazo.
(1) Daktari Daraja II - Nafasi 5
(2) Afisa Muuguzi II (Nursing Officer II) - Nafasi 3
(3) Afisa Muuguzi Msaidizi II (Assistant Nursing Officer II) - Nafasi 10
(4) Muuguzi wa Usingizi II (Nurse Anaesthesia II) - Nafasi 2
(5) Mteknolojia Mionzi Daraja II (Radiographer II) - Nafasi 2
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Waombaji wote watume barua ya maombi iliyoambatanishwa na:
• Wasifu binafsi (CV)
• Nakala za vyeti vya kitaaluma na Sekondari
• Cheti Cha kuzaliwa
• Cheti cha usajili na leseni ya kazi
• Nakala ya Kitambulisho Cha NIDA
Nyaraka zote ziwe katika mfumo wa PDF
MAOMBI YATUMWE KWA👇
Mkurugenzi Mtendaji
Hospitali ya Rufaa ya Nkinga
S.L.P 1, Nkinga, Igunga - Tabora
Simu: 0784800098 au 0754610619
Barua pepe: nkinga-hospital@hotmail.com
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 06/02/2026 SAA 10:30 JIONI

Maoni