SELWA AKAGUA MIRADI 19 YA ELIMU IGUNGA YENYE THAMANI YA BILIONI 3.39.



Na Mwandishi Wetu, Igunga.

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Selwa Hamid amefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi 19 ya Afya na Elimu yenye tahamani ya sh. 3.39 bilioni.

Selwa amefanya ziara hiyo ya siku tatu mfululizo katika kata zilizopo kwenye majimbo ya Igunga na Manonga wilayani Igunga.

Amesema kukamilika kwa miradi hiyo ni muendelezo wa kuendelea kutoa huduma na furaha kwa wananchi.







Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.