HABARI PICHA
Shirika lisilo la kiserikali la Marafiki wa Serengeti Uswiss, wametoa msaada wa vifaa vya doria vya aina mbalimbali ikiwemo mahema, tochi, sleeping bags na matairi kwaajili ya kusaidia shughuli za doria.
#wildanimals #travelphoto #wizarayamaliasilinautalii



Maoni