AMNESTY INTERNATIONAL YALISHUTUMU KUNDI LA HAMAS



SHIRIKA la Amnesty International limeishtumu Hamas na makundi mengine ya wapiganaji wa Kipalestina kwa mara ya kwanza kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu, ikiwemo mauwaji, wakati na baada ya shambulio la Oktoba 7, 2023 lililochochea vita vya Gaza.

#HamasIsISIS ##palestine #AmnestyInternational

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.