WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA WASHIRIKI SHEREHE ZA KUTUNUKIWA KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ.
Na Mwandishi Wetu, Arusha.
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakiwa ni miongoni mwa viongozi mbalimbali waliohudhuria sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba, 2025 ambapo Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametunuku Kamisheni.






Maoni