MWENYEKITI WA KAMATI YA USALAMA BARABARANI MKOA WA TABORA AKABIDHI GARI KWA JESHI LA POLISI
Na Mwandishi Wetu, Tabora.
Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Tabora, Bw. Hamud Nasor, leo Novemba 10, 2025 amekabidhi gari aina ya Toyota Probox kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao kwa ajili ya matumizi ya kikosi cha usalama barabarani.




Maoni