HABARI PICHA




MKUU wa Polisi Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Kelvin Haule Oktoba 14, 2025 akiwa ameambatana na Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai  ASP Mbosela  ameongoza mafunzo maalumu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 kwa askari mgambo wilayani humo ikiwa ni muendelezo wa Jeshi la Polisi kutoa elimu ya uchaguzi kwa askari mgambo ili kuwawezesha kusimamia   haki na kufanya kazi kwa weledi kwenye uchaguzi huyo.



Sambamba naye ASP Mbosela ametoa elimu ya Sheria mbalimbali za uchaguzi kwa askari hao ili kuwaongezea uelewa juu ya sheria mbalimbali za uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025








Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.