CHATANDA: MSIDANGANYIKE NA WAHUNI WACHACHE WA MITANDAONI
Na Hamida Ramadhani, Katavi.
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), amewataka wananchi wa kitongoji cha Nkumbi, kata ya Kapalala, kupuuza upotoshaji unaofanywa na watu wachache mitandaoni wanaolenga kuondoa amani na mshikamano uliopo nchini.
Chatanda ameyasema hayo jana tarehe 9 Oktoba 2025, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kitongoji cha Nkumbi, kata ya Kapalala, Jimbo la Nsimbo, Mkoa wa Katavi.















Maoni