CHATANDA: CCM IMETUHESHIMISHA WANAWAKE KWA KUTUPA DKT. SAMIA.

 


Na Hamida Ramadhani, Katavi.

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaheshimisha wanawake kwa kumteua Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.



Akizungumza na Wanawake wa Mkoa wa Katavi amesema kuwa hatua hiyo ni ishara ya imani kubwa inayooneshwa na chama kwa wanawake wa Tanzania hivyo amesema ni vyema wanawake nchini  kumpigia kura Dkt samia pamoja na Wabunge na Madiwani wa CCM kwa wingi ili kupata ushindi wa kushindo ifikapo Oktoba 29,2025.

















Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.