CHATANDA AWAOMBA WAJASIRIAMALI NA MAKUNDI MAALUM KUMPIGIA KURA DKT. SAMIA

 




Na Hamida Ramadhani, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), leo tarehe 17 Oktoba 2025, ameshiriki Mkutano wa Makundi Maalum ya Wajasiriamali Mkoa wa Dar es Salaam, amewataka kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan ifikapo Oktoba 29, 2025, ili aendelee kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025–2030.

Katika mkutano huo uliohudhuriwa pia na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa,  Chatanda amepongeza uongozi wa Dkt. Samia  kwa mafanikio makubwa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ya kimkakati, nchini tanzania.

















Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.