CHATANDA ASHIRIKI KIKAO CHA BARAZA MAALUM LA UWT WILAYA YA KINONDONI

 


Na Hamida Ramadhani, Dar es Salaam.

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ambaye pia ni Mratibu wa Kampeni za CCM Jijini DSM, Leo tarehe 15 Oktoba, 2025, akutana na wajumbe wa Baraza la UWT Wilaya ya Kinondoni kwenye Ofisi za CCM Wilayani humo, katika kuandaa Hamasa na kupeana mikakati zaidi ya kumuombea Kura za kishindo Dkt. Samia Suluhu Hassan, Wagombea Ubunge na Udiwani wa CCM, pamoja na kufanya maandalizi ya Mikutano ya Kampeni ya Dkt. Samia ndani ya Jiji la DSM kwa kunadi ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025/2030 kwa Wananchi ili wajitoke kwa Wingi siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 na kuwachagua Wagombea wote wa CCM.













Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.