ACT -WAZALENDO ZANZIBAR YAFUNIKA KIBABE KASKAZINI PEMBA.
LEO Mgombea wa Urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Ndugu @othmanmasoudothman ameendelea na mikutano yake ya Kampeni, akinadi Sera na kuomba ridhaa ya katika Viwanja vya Wingwi Mapofu, Kaskazini Pemba.
Oktoba#LindaKura#ZanzibarMamlakaKamili





Maoni