WAASI WA M23 WAANZA KUTOZA ADA KWA SHULE MJI WA GOMA.
SHULE ambazo hapo awali zilikuwa zinatoa elimu bila malipo katika mji wa Goma ,nchini DRC sasa zimeanza kutoza ada chini ya udhibiti wa waasi wa M23, huku walimu wakikosa mishahara kutoka serikali kuu , jambo linalozua wasiwasi mkubwa miongoni mwa wazazi na walimu kuhusu upatikanaji wa elimu, wakati huu juhudi za upatanishi zinazoongozwa na Qatar zikilenga kushughulikia mzozo mpana wa eneo hilo.
#M23 #drceducation #goma #drcgoma #Elimu

Maoni