TANGAZO.




OFISI YA MKUU WA WILAYA YA IGUNGA IKISHIRIKIANA NA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA,

Hospitali ya Wilaya Igunga inategemea kupokea timu ya madaktari Bingwa wa Mh.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuanzia tarehe  29/09/2025  hadi tarehe 03/10/2025.

Madaktari Bingwa watakaokuwepo ni

01. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya wanawake( kinamam)

02. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya ndani (mfano kisukari,pressure nk)

03. Daktari Bingwa wa Upasuaji 

04. Daktari Bingwa wa magonjwa ya kinywa na meno

05. Daktari Bingwa wa watoto 

06. Daktari Bingwa wa Usingizi na ganzi

07. Muuguzi mbobezi.

Wananchi wote wenye uhitaji wa huduma hizo wafike Hospitali ya Wilaya Igunga.

Huduma zitatolewa kwa gharama nafuu kabisa.

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.