TAARIFA KWA UMMA.












LEO Septemba 13. 2025 Saa 6:00 Mchana Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo Ndugu  Luhaga Joelson Mpina, ataongea na waandishi wa Habari baada ya kurejesha fomu zake katika ofisi ya Tume jijini Dar esSalaam

Mkutano utafanyika Makao Makuu ya ACT Wazalendo Magomeni

Waandishi wa Habari Mnakaribishwa Kuhudhuria

@ACT @Tumehuruyataifayauchaguzi @Tujitokezekupigakuraoctoba29 

@Luhangampina @Zitokabwe

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.