MWILI WA SPIKA MSTAAFU WA BUNGE LA TANZANIA NA ALIYEKUWA MBUNGE WA KWONGWA UMEWASILI VIWANJA VYA BUNGE.
MWILI wa hayati Spika Mstaafu wa Bunge na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa Mhe. Job Justino Ndugai, umeshawasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya viongozi wa kitaifa, familia, wabunge na wananchi kutoa heshima zao za mwisho na baada ya hapo mwili wa hayati Job Yustino Ndugai utaelekea nyumbani kwake Kongwa Jijini Dodoma.






Maoni