MICHEZO
NAIBU katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Felister Mdemu amewaaga wanamichezo wa wizara hiyo watakaoshiriki katika michezo ya Shirikisho la Michezo kwa wizara na Idara za serikali leo Septemba 1, 2025 kuelekea Jijini Mwanza.
Felister ametoa rai kwa washiriki hao kuwa makini na kujali afya zao pindi wanapokuwa katika mashidano hayo ili waweze kurejea salama na kuendelea na majukumu yao.


Maoni