ISRAELI YADUNGUA KOMBOLA KUTOKA YEMEN
WAASI wa Houthi wameapa kuiwajibisha #Israel baada Waziri Mkuu wao Ahmed Ghaleb Nasser Al-Rahawi na maofisa wengine 11 wa ngazi ya juu kuuawa katika shambulio la wanajeshi wa Israel wiki iliopita katika Mji wa #sanaa.
#HouthiRebels
Jeneza la Waziri Mkuu wa Houthi Ahmed al-Rahawi Sept. 1, 2025.

Maoni