HELKOPTA YAPOTEA NA WATU NANE





HELKOPTA yenye watu wanane imepotea kwenye kisiwa cha Borneo, Indonesia, na juhudi za uokoaji zimeanza, kwa mujibu wa maafisa wa uokoaji. Kiongozi wa shirika la uokoaji Banjarmasin, I Putu Sudayana, amesema helikopta hiyo ilikuwa na marubani wawili na abiria sita, na wanatarajia kuwapata wote wakiwa salama ndani ya siku saba za utafutaji.


#indonesia #borneo #banjarmasin #indonesiahelicopter

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.