BAROZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA AKUTANA NA WAANDISHI ZANZIBAR.
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.
MHE. Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes, na ujumbe wake wamekutana na waandishi wa habari na content creators ili kusikia simulizi za mafanikio yao kupitia program ya SWIL.
Kupitia mafunzo ya wanawake na uongozi, waandishi wamekuwa daraja muhimu la kusambaza habari, kuibua mijadala na kuhamasisha jamii kuhusu usawa wa kijinsia.



Maoni