TCRA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA MATUMIZI SAHII NA SALAMA YA HUDUMA YA MAWASILIANO.
MENEJA wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Ofisi ya Zanzibar, Bi. Esuvatie-Aisa akitoa dondoo muhimu kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano katika kipindi maalumu cha Kituo cha Crown FM Zanzibar tarehe 12 Agosti, 2025 Unguja - Zanzibar.
TCRA inaendelea kutoa elimu kwa umma ikisisitiza matumizi sahihi na salama ya huduma za mawasiliano na kukumbusha wajibu wa watumiaji wa kusambaza taarifa za ukweli na uhakika na kufuta na kutosambaza ujumbe au taarifa zinazochochea upotoshaji, uzushi, chuki na uvunjifu wa amani.
#tcratz #elimukwaumma #futadeletekabisa

Maoni