TAARIFA KWA UMMA


Gaza 

ABU Obeida, anayejulikana kwa kuonekana akiwa amejifunika uso kwenye ujumbe wa video, alikuwa msemaji wa kikosi cha kijeshi cha Qassam na sauti kuu ya propaganda ya Hamas. Tangu kuanza kwa vita vya Gaza, Israel imewaua viongozi kadhaa wa Hamas, akiwemo Yahya Sinwar, anaetajwa kuwa mpangaji mkuu wa mashambulizi ya Oktoba 7, 2023 kusini mwa Israel. 

#Gaza #Israel #Hamas #AbuObeida #MiddleEastConflict


Credit DW. 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.