NDEGE YA KIVITA YAANGUKA MAZOEZINI





NDEGE aina ya F-16 imeanguka wakati wa mazoezi ya maonyesho ya ndege mjini Radom, katikati ya Poland, August 28.2025 Rubani alifariki kwa mujibu ya msemaji wa serikali

#Poland #mazoeziyakijeshi #ndegeyavita

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.