JESHI LA ISRAEL LAFANYA MASHAMBULIZI USIKU KUCHA GAZA
JESHI la Israel limefanya mashambulizi ya usiku kucha kwenye maeneo yaliyoko Mjini Gaza kutokea angani na ardhini na kuharibu majumba na kuzilazimu familia zaidi kuondoka eneo hilo.
#Gaza #Israel #evacuation

Maoni