DIAMOND AMJIBU BABA LEVO NA MBOSSO.

STARA wa Bongo Fleva, @diamondplatnumz , ameweka wazi msimamo wake kupitia ujumbe aliouandika kwenye ukurasa wake wa Instagram akieleza kutofurahishwa na mwenendo wa rapa Baba Levo juu ya Msanii @mbosso_

Diamond amesema anamuheshimu Baba Levo kama kijana mwenzake, lakini vitendo vyake vinamfanya ahisi kuna agenda asiyoijua, jambo linalomlazimisha kukaa mbali naye.




#Diamondplatinumz #WCB #Babalevo #Mwijaku #Mbosso 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.