BEKA FRAVOUR ANOGESHA MKESHA WA MWENGE IGUNGA.
MSANII wa Mziki wa kizazi Kipya Beka Fravour ni mmoja ya Wasanii waliopanda na kutumbwiza katika jukwaa la Mkesha wa Mwenge wa Uhuru 2025 katika uwanja wa mpira wa miguu wa Barafu ulio katika Kitongoji cha Kati Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora.
Mwenge wa Uhuru 2025 katika uwanja wa mpira wa miguu wa Barafu ulio katika Kitongoji cha Kati Wilaya ya Igunga.
Mwenge wa Uhuru 2025 katika uwanja wa mpira wa miguu wa Barafu ulio katika Kitongoji cha Kati Wilaya ya Igunga.
Maoni