AKILI UNDE YATAWALA MKUTANO WA KAHRDC NA FAC




Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. 

MKURUGENZI wa Masuala ya Kisekta wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Mwesigwa Felician akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Kamati ya Utawala (HRDC) na Fedha (FAC) ya Shirika la Wasimamizi wa Huduma za Mawasiliano wa Nchi zilizopo kusini mwa Afrika (CRASA), tarehe 25 Agosti, 2025 jijini Dar es Salaam. 



Katika ufunguzi wa mkutano huo, wajumbe wameshiriki majadiliano kuhusu matumizi ya Akili Unde kwa wataalamu wa rasilimali watu “ Artificial Intelligence for Human Resources Professionals”.  

Mkutano huo unaoratibiwa na TCRA unafanyika kuanzia Agosti 25 hadi 29, katika ukumbi wa mikutano wa Hotel ya Serena.






#tcratz #digitaleconomy #crasa #regionalintegration #uchumiwakidijiti #hrdc #fac

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.