TCRA YATOA ELIMU KUHUSU MATUMIZI SAHIHI YA HUDUMA ZA MAWASILIANO

Afisa Mhifadhi Mwandamizi - TCRA Bw. Raphael Mwango akitoa elimu kuhusu matumizi sahihi na salama ya huduma za mawasiliano ikiwemo mitandao katika kituo cha redio cha Hatma FM, kipindi Maalumu jana tarehe 23, Julai, 2025 Arusha. 

TCRA imeleta tena kampeni nyingine ya elimu kwa umma yenye jina la “FUTADELETEKABISA” ikiendelea kusisitiza matumizi sahihi na salama ya huduma za mawasiliano na kukumbusha wajibu wa watumiaji wa kusambaza taarifa za ukweli na uhakika na kufuta na kutosambaza ujumbe au taarifa zinazochochea upotoshaji, uzushi, chuki na uvunjifu wa amani.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.