RAIS MWINYI AWASILI JIJINI DODOMA



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dodoma kushiriki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yatakayofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali-Mtumba Dodoma, siku ya Ijumaa tarehe 25 Julai , 2025.



Katika Uwanja wa ndege wa Dodoma, Rais Dkt.Mwinyi amepokelewa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Mkoa huo.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MWENYEKITI NAMALULU AWEKWA PEMBENI KUPISHA UCHUNGUZI

IGUNGA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NANENANE TABORA.